Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,712
- 96,786
Hahahaha, shayo haachi hela, na dawa ya mbu anakupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache shayo apumzike mkuu, ila ndugu zetu hao kwa pesa ataamka tu.
Sent using [emoji106]
Hahahaha, shayo haachi hela, na dawa ya mbu anakupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache shayo apumzike mkuu, ila ndugu zetu hao kwa pesa ataamka tu.
Sent using [emoji106]
Hata hapa Moro zipo na mtaani kwetu wanauza pia na almost Msamvu yote wapiga debe na walima mchicha ndio kilevi chao hicho.This is too much, wapi huko?
Hiyo ngoma hata ikikutwa na covid-19 premier pro, thamani yake inabaki palepale. Tembea kifua mbele mkuu😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanasema eti nimpeleke akapimwe corona.
Doh unaelekea wapi na corona yote hii?Yeah najitahidi nilale..la sivyo nitasinzia safari nzima
Being good in everything is merely impossible to human beingWhy am I so bad at being good
Naelekea DomDoh unaelekea wapi na corona yote hii?
Una uhakika ?Sometimes the best way to solve your own problems is to help someone else
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hv ile banana wakinywa si hua wanajisaidia hapohapo wengine
Wakifika 6 sema nijiweke wa7 bila hiyanaHumu mtu unaweza kupata mke wa tatu hivi hivi kimzaha mzaha.
Once you do it never look back expecting for a returnSometimes the best way to solve your own problems is to help someone else
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nivimbe mpaka Posta kule nimpeleke maabara kuuHiyo ngoma hata ikikutwa na covid-19 premier pro, thamani yake inabaki palepale. Tembea kifua mbele mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, wanawake wenyewe wako wapi sasaHumu mtu unaweza kupata mke wa tatu hivi hivi kimzaha mzaha.
Kabisa mkuu mimi nishajitoa kwenye list mapema.Huu mwaka watu watakao timiza malengo ni wachache sana.
YesUna uhakika ?