fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,924
- 24,612
Unajua kuna baadhi ya pombe zinakaa kwenye mwili na mtu akisweet tu ila harufu inaibuka it's like the addicted sigars smokers[emoji23][emoji23][emoji23] hapo asubh unapisha na njemba imeoga ila inanuka kama jalala