JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ugoro una stimu mbaya asikwambie mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kutumia ila kuna mwanangu alikuwa anatumia, basi akishapiga vitu anakuwa hasomeki, macho yamechangamka kama anachungulia kitu. Halafu masikio yanaziba anakuwa hasikii vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna stimu nyingine miyeyusho sana.
[emoji23]wale wanachekaga hovyo
Na walioko addicted wanachezeshaga midomo muda wote hata kama hana ugoro
 
Back
Top Bottom