Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza acha simu na wallet pale.
Sasa tabu yote ya nini wacha tukomae na level tunazoweza.
Sent using [emoji106]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza acha simu na wallet pale.
Flomi ndio wapiPita hata flomi [emoji23][emoji23][emoji23] tu hapo.
Utakuja kufunga lindo sio?Navyojiona leo si mtu wa kukesha kabisa
Aisee naamini hiloVirahisi vina madhala yake
Deep down mikusanyiko nimeikumbuka aise[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza acha simu na wallet pale.
Kuna zawadi keshaNavyojiona leo si mtu wa kukesha kabisa
Pale unachana msamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa tabu yote ya nini wacha tukomae na level tunazoweza.
Sent using [emoji106]
Huyu mdudu ni adhimu sana imekuwaje umefika naye mnadani...hao huwa wananunuliwa njiani hata kabla ya kufika gulioni. Yaani unafika gulioni na kitita tayari, unaanza kujipongeza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fala sana ww mm niko na kitimoto hapa [emoji200]
[emoji1537][emoji1616]Hivi Rowin upo? Hebu punga japo mkono huko uliko, sijakutia machoni muda sana.
Nilichogundua utumiaji wa aina flani ya kileo Inategemea na mazingira yanayokuzunguka na upatikanaji wa kileo husika.Yaani we ukishaona stimu inauzwa 200, ndo basi tena. Hamna kitu hapo...😂😂😂😂
Eneo moja hivi la kujirusha Moro.Flomi ndio wapi
Kuna mwanaume hapo au ni suruali na ch..i tu tabu sanaEeeh ukawaone kwa kweli wanakuaga kama bichaaa mateja wananafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unakuta samaki imechangamka saiz Alhamisi hii.Deep down mikusanyiko nimeikumbuka aise[emoji28][emoji28]
Sent using [emoji106]
Kabisa mwisho wa siku bill ikushinde udekishwe makorido ya hotel nzima [emoji28][emoji28]Pale unachana msamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kwa zawadi..sikeshiKuna zawadi kesha
Hotel flomi, msamvu ?Eneo moja hivi la kujirusha Moro.
Na ndio wataokufa mapema kwa baadhi ya viungo mwilini kushindwa kufanya kazi kama figo na mapafu, Mungu saidia saidia uzeeni saratani au matatizo ya macho hayachezi mbali.Aisee naamini hilo
Wazee vijana haya maeneo ya watu wanaojiajiri ni wengi sana wanateseka mpaka huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanasema eti nimpeleke akapimwe corona.Huyu mdudu ni adhimu sana imekuwaje umefika naye mnadani...hao huwa wananunuliwa njiani hata kabla ya kufika gulioni. Yaani unafika gulioni na kitita tayari, unaanza kujipongeza.