JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nazani ningeamia kwenye ngumu kumeza kwa mkubwa asiyeshusha mikono. [emoji17]
Yule mwamba anakubalika sana aisee, sisi ambao sio watumiaji wa hizo mambo ni wazi tunakosa baadhi ya vitu vizuri.
Yaani mtu una stress, unaagiza azam ukwaju...unakunywa badala ya stress kushuka, zinaongezeka. Unaishia kukipiga teke na kachupa kenyewe. 😂😂😂😂
 
Yule mwamba anakubalika sana aisee, sisi ambao sio watumiaji wa hizo mambo ni wazi tunakosa baadhi ya vitu vizuri.
Yaani mtu una stress, unaagiza azam ukwaju...unakunywa badala ya stress kushuka, zinaongezeka. Unaishia kukipiga teke na kachupa kenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mm mwenyewe mbona ni kama ww tu lakini mm napenda ile ice cream milk coffee ya azam kushinda ukwaju.
 
Back
Top Bottom