Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Juzi!! Mmh[emoji23][emoji23] Kwani juzi hukuona rainbow ww
Juzi!! Mmh[emoji23][emoji23] Kwani juzi hukuona rainbow ww
Vingine acha tuhadithiwe tu sio lazima sisi tuwe mashuhuda.Safi mzee, sio lazima kuwa mwanachama wa kila kitu.
Si samaki, terminal wala star park siendi saivi mkuu namkimbia koona[emoji28][emoji28]Gud Gud vp samaki hapo [emoji23]
Stress zinapunguzika basi mzee wangu hazikauki mpaka tunaondoka hapa duniani.Mkuu ndio vizuri upunguze stress za maisha ,life like transformer, up and down
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni Daku
Ee juzi hukuona kwamba mvua ndio inaishia hivyo?Juzi!! Mmh
Bora umekuja mzee utanipokea zamu [emoji4]01:27am nawacheki tu
Ukubwa dawa, Nilijua tu kuna tatizo mahaliBora umekuja mzee utanipokea zamu [emoji4]
Niliangalia Basi!! Ukute imetokea wakati nimelalaEe juzi hukuona kwamba mvua ndio inaishia hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vurugu unaenda fanyia nyumba kwahiyo.Si samaki, terminal wala star park siendi saivi mkuu namkimbia koona[emoji28][emoji28]
Sent using [emoji106]
Daku hanyimwi MTU km iftar tu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hata ambao hatukufunga?
Sent using [emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ipo vuta subira tu mzee wangu.
Naomba urudi chumbani hatujamaliza maongezi plzNiliangalia Basi!! Ukute imetokea wakati nimelala
Bado muda ndio mtoto katumwa kununua maharage
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuwa nakutegea tu unipokee.Ukubwa dawa, Nilijua tu kuna tatizo mahali
Hakika, leo lindo limechangamka kama mnada wa mifugo vile 😀😀😀Vingine acha tuhadithiwe tu sio lazima sisi tuwe mashuhuda.
Ilikuwa jioni na wakati huko kulikuwa na mawingu mazito yake ya mvua.Niliangalia Basi!! Ukute imetokea wakati nimelala