Hazard CFC Kachukue chako, ukipata utukumbuke wapiga debe maana ulishasema huzitakiHata ww umekosa
Alichojibu Hazard CFC ndo jibu
Cuz hio of autoerotic asphyxiation inapelekea
Accidental death
Kutokana na kukosa pumzidue to asphyxia.
Tulilie msosi tu tusife hakuna namna
Kiazi sana ww[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] Utaichukua hiyo hela tukalie wale kwiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aah mikwara sio nitakudaka tu mbona saiz ww tamba zamu yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha mikwara wewe
Watu wameshaanza kupunguzwa huko makazini.Tulilie msosi tu tusife hakuna namna
Kiazi ujue kinathamani saiz watu wanafturia alafu ww unadharau [emoji23][emoji23][emoji23] mjinga ww.Kiazi sana ww[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndo kilichobaki sasa ..Tulilie msosi tu tusife hakuna namna
Ahaa humo kuna ma investigator?!Pitia uzi wangu huu miaka 2 iliyopita tulijadili sana vifo vya hawa mastaa vyenye utata. Hasa Heath ledger..
Nini kipo nyuma ya vifo vya hawa masta, ni njama au vifo vya kawaida.? - JamiiForums
Poa mzima?chiqutitta mambo?
Yani wanapunguzwa daily badala ya kuhuzunika inabidi ucheke maana wote mpo mtaaniWatu wameshaanza kupunguzwa huko makazini.
Sijui na sisi walinzi tutaongezewa shift???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna story za kusadikika lakini hakuna ukweli humo.Ahaa humo kuna ma investigator?!
Eeh we kiazi tu[emoji38][emoji38]Kiazi ujue kinathamani saiz watu wanafturia alafu ww unadharau [emoji23][emoji23][emoji23] mjinga ww.
mm ni mzima kabisa naendelea kuoga sanitizer tu.Poa mzima?
Sawa ww si gimbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh we kiazi tu[emoji38][emoji38]
Nakumiss pia mama...huwa tunapishana siku nikiingia lindo mwenzangu unakuwa haupo
Hata ww umekosa
Alichojibu Hazard CFC ndo jibu
Cuz hio of autoerotic asphyxiation inapelekea
Accidental death
Kutokana na kukosa pumzi due to asphyxia.
Hazard CFC Kachukue chako, ukipata utukumbuke wapiga debe maana ulishasema huzitaki
Ahaaa nmejua kuna ma investgatir wanashusha mbinu[emoji38][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna story za kusadikika lakini hakuna ukweli humo.
Upo mkuu?1:01