JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

View attachment 1440011
Kilichomuua David Caraddine ni hiki japo kuna utata katika kifo cahake
Erecto asphyxiation ndio ilimuaa
Kitaalam ni kwamba ukibana pumzi wakati unapiga bao, bao linakua tam mara nyingi kuliko kawaida. Kama mtu yuko na partner basi atamuomba amkabe at the moment of release hata kwa sekunde 10 hadi 20.
Hapo inaelezea puzzle la yeye amefikaje kabatini
 
Nimevulugwa leo sina usingizi mpaka ijae niione hii ndio nitalala
Screenshot_2020-05-05-00-55-16.png
 
View attachment 1440011
Kilichomuua David Caraddine ni hiki japo kuna utata katika kifo cahake
Erecto asphyxiation ndio ilimuaa
Kitaalam ni kwamba ukibana pumzi wakati unapiga bao, bao linakua tam mara nyingi kuliko kawaida. Kama mtu yuko na partner basi atamuomba amkabe at the moment of release hata kwa sekunde 10 hadi 20.
Hata ww umekosa
Alichojibu Hazard CFC ndo jibu
Cuz hio of autoerotic asphyxiation inapelekea
Accidental death
Kutokana na kukosa pumzi due to asphyxia.
 
Back
Top Bottom