chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Ww ulisema wataka za pamba mie sina uwezo nazoUlinihaidi alafu umenikata saiz unasema mm nilizikataa [emoji17]
Ww ulisema wataka za pamba mie sina uwezo nazoUlinihaidi alafu umenikata saiz unasema mm nilizikataa [emoji17]
Naam.1:20
Nmemuona aisee nmefurahi sana
Utamueze huyo anawaza kupika ftari saiz anataja maji ya vitu vyakula tu [emoji23]Aisee nimeshituka kidogo kutoka viazi hadi magimbi
Karibu tena kwakua ndo nakuona [emoji4][emoji4][emoji4]Niko salama kabisa
Basi hizo hizo za 1000 kama zipo [emoji41] zimebaki nijenichukue.Ww ulisema wataka za pamba mie sina uwezo nazo
Ttcl basi[emoji38] acha zako aweke tigo
Msosi sahani moja unatuita walinzi wote [emoji23]Muda wa daku huuu karibuni
Picha utatamanisha wanaofunga usiku[emoji38]
Tuatweka sinia usihofu ,Msosi sahani moja unatuita walinzi wote [emoji23]
Kalale ukueNawaona..
[emoji23][emoji23][emoji23] Nipo na jaba kabisa.Tuatweka sinia usihofu ,
Halafu na madumu ma2 ya lita 20 ya nanii si yatatosha?!
Salam sheikh