Kipindi siraha inatafutwa ye anabinywa balls zake ataje kaificha wapi. Ndio hawahawa wanakodisha kwa wajambawazi au kuziuza kwa magaidizo, sasa chamtema kuni atakiona๐๐Lazima aswekwe lock up. Huku upelelezi ukiendelea.
With due respect sir... kwenye jukumu la Ulinzi hii ni kauli soft sana, ulipaswa umkemee na ale shuruba nzito kwakushindwa kwake@DepalUsijali mama nishafunga upande wako. Mtoto wa kike haitaji shurba ati.
Balls means?Kipindi siraha inatafutwa ye anabinywa balls zake ataje kaificha wapi. Ndio hawahawa wanakodisha kwa wajambawazi au kuziuza kwa magaidizo, sasa chamtema kuni atakiona๐๐
๐๐๐๐With due respect sir... kwenye jukumu la Ulinzi hii ni kauli soft sana, ulipaswa umkemee na ale shuruba nzito kwakushindwa kwake@Depal
Nilitaka kutia neno ngoja nikaushe mwanangu ataniua bureHuyu jamaa he is too delicate. Hatakiwi kukumbana na kashikashi za maisha. Atakufa kwa pressure tusipokuwa makini. Jitahidi kumpa Counselling ili ajue namna ya kuishi na wabongo.
MipiraBalls means?
[emoji38][emoji38]shukranDah...ziko sababu kadha wa kadha..za kitaalaam...
1. Mbwa wanauwezo wa kusikia sauti ndogo sana kuliko binadamu ...hivyo kwa sababu kazi yao ni ulinzi ndiyo maana hubweka kila wasikiapo hizo sauti ambazo wewe husikii...
2. Hubweka pia waonapo viumbe wengine...paka...mjusi...panya hata mende..
3. Hujiona wapweke wakiwa nje peke yao...hivyo hubweka ili kupata attention ya binadamu...
4. Huwa wanakuwa bored hivyo hubweka kujifurahisha...
5. Huwa wanapiga stori na mbwa wengine walio mbali...hii hubweka kwa mtindo tofauti wa kimajibizano..
6. [emoji2960]
Sent using Beretta ARX160
Eeh shukran kumbe hua wanamaanaInategemea na mbwa wanalia mlio wa aina gani.
Chunguza.. kuna sometimes wanabweka as wakiona kitu ambacho si sahihi mahala hapo so wanabweka ili kuvuta/ kumshtua binadamu aliyekaribu ajue kinachoendelea.
Pia mbwa hunung'unika pale anapoona viumbe vya kiroho kama majini. Hii Mara nyingi kutokea kila azana Ikiwa inaendelea. Chunguza kipindi hiki cha ramadhani
Mungu akusamehe ndugu!! [emoji120][emoji120]Jitu linawaza kula dah dini hizi hi Ni funga ya aibu
Mbupu mzeeMipira
Tumia tafsida,MkuuMbupu mzee
Ndo balls ss sjui kende ila umeeelewaTumia tafsida,Mkuu
Hahahaha, nimeelewa ,ila ukisema pumbu kdg inashtuaNdo balls ss sjui kende ila umeeelewa
Missing you ๐Dogo ๐๐๐๐๐
Hili lindo ndio group letu la whatsapp๐๐Naona wanazengo mmegoma kuachia Lindo
The only thing to fear is fear itself