Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,002
- 100,207
central africa saa hz saa mojaAlfajiri tayari kumekucha kwa sisi tuliopo Tz
central africa saa hz saa mojaAlfajiri tayari kumekucha kwa sisi tuliopo Tz
Mbona mi nilipigwa ban🤣Dah, imeniuma sana. Atakua alijaa kwenye mfumo. Kuna watu ukigombana nao wanakimbilia polisi. Fastaa wanakureport unakula ban.
Mtu akikukera, unamuandikia matusi PM. Vya PM haviendi kwa Mods.
Habari ndugu mteja,6 na dk 43... Tanesco washafanya yao
Kumbe jiraniSalasala 0823
Wasalimie hapo kwa barikiwe.Kumbe jirani
Sipajui🙆🏽♀️Wasalimie hapo kwa barikiwe.
samaleko Steve Rogerswin-one nakusalimu popote ulipo 😊😊