Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,721
- 208,991
Have a blessed blue MondayLet's call it a day. Bye
Have a blessed blue MondayLet's call it a day. Bye
Same to you madame.Have a blessed blue Monday
Mbeya tutaonana sikukuu nikiwa naelekea vwawaDah niko Mbeya bado aiseeee
Mchungaji wa YouTube na Facebook hukoNdio nani
Aliwahi kukuambia au umejuaje?Mbwa huwa wanaonaga vitu vibaya sana usiku mfano mbwa anaona wachawi nk.. Ndio maana huwa anabweka sana usiku.
Dah,sio mfuatiliaji wa hao watu, R.I.P mchungajiMchungaji yule anayeongeleaga Sana maswala ya mahusiano.
Na wewe bado ni Kiwawa au mi ndiyo sijaelewaMbeya tutaonana sikukuu nikiwa naelekea vwawa
Kwa ruhusa maalumu, naye alivyokuwa na haraka ya ulaji fastaaaa kafika😂😂Hahahaha, mbn muapishwa kaingia na kutoka
Hulali na nguo 😉Nimeshaizoe sasa, silali hata na nguo aise
Hahahaha, vwawa eneo huko songwe ,mie ni mlei Kanisa la St Martha Mikocheni B ,karibuNa wewe bado ni Kiwawa au mi ndiyo sijaelewa
Ndio Rafiki!Hulali na nguo 😉
Vwawa ni eneo.Na wewe bado ni Kiwawa au mi ndiyo sijaelewa
Hahahaha, mtaani kugumuKwa ruhusa maalumu, naye alivyokuwa na haraka ya ulaji fastaaaa kafika[emoji23][emoji23]
You're uncovering yourself dude.Hahahaha, vwawa eneo huko songwe ,mie ni mlei Kanisa la St Martha Mikocheni B ,karibu
Oooh R.I.P mchungajiMchungaji wa YouTube na Facebook huko
Karibu SanaMbeya tutaonana sikukuu nikiwa naelekea vwawa
HahahahaYou're disclosing yourself dude.
Hahaha dah! Ahsante FydVwawa ni eneo.
Sio kiwawa teenager wa kikatoliki😀
Chezea uteuzi wewe. Ina maana mzee ameishiwa watu nini maana si kwa kuziduria man power zilezile alizozikashifu na kuzitolea sababu za kuzitengua.Hahahaha, mtaani kugumu