bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Wanasemaga eti kila anayeguswa na mapenzi huwa mshairi.Sijui niliiokota wapi hii point/pumba hata sikumbuki.Owa s'andame hadaa, moyo ukahadaiwa Owa anaye kufaa, mke mwenye kusifiwa
Nifafanulie kidogo huo ujumbe wako
Sent using Jamii Forums mobile app