Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
No viwawa siko tena. Nimejiunga na kwaya toka july 22 mwaka 2014. Kutokea viwawaSafi sana,kijana utakuwa , viwawa wewe sio
MTC | 101| [emoji769]
No viwawa siko tena. Nimejiunga na kwaya toka july 22 mwaka 2014. Kutokea viwawaSafi sana,kijana utakuwa , viwawa wewe sio
MTC | 101| [emoji769]
Uvivu kwenye kuamka asubuhi, au hata ile shift ya wamchana na waasubuhi ulikua unapata uvivu kwenda shuleni hata kama ni mchana?Utukutu hapana....uvivu tu
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya wasalimieNdio natafuta usafiri wakunirudisha nilikotoka.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu najua upo counter..ngoja nikuachie lindo
[emoji23][emoji23][emoji23] wanasema chambo akiliwa na samaki ujue mvuvi kaanza ulofa.Hahahaha, hapa muhimu ni kuendelea kubaki kibandani huku
MTC | 101| [emoji769]
Kama wananiona wanipe kibarua asee..
Pamoja gud gal [emoji109]Mida yangu ya kupumzika imewadia.
Mbakie salama. Weekend njema kwetu sote.
Inapendeza kwaya ya wapi? Inabidi nitafute nyimbo zenuNo viwawa siko tena. Nimejiunga na kwaya toka july 22 mwaka 2014. Kutokea viwawa
Hizo hizo mkuu..
Uvivu kwenye kuamka asubuhi, au hata ile shift ya wamchana na waasubuhi ulikua unapata uvivu kwenda shuleni hata kama ni mchana?
Mi mwenyewe nakisanusha mwanangu, humu kuna watu walikunywa kahawa na alkasusu na wengine wapo waliofua mashuka mida mibovuMida yangu ya kupumzika imewadia.
Mbakie salama. Weekend njema kwetu sote.
Naam tunazitafuta zitusaidie siku tukifunga machoBaraka hizo.
Hahahaha, kabisa Mkuu , acha niwapishe[emoji23][emoji23][emoji23] wanasema chambo akiliwa na samaki ujue mvuvi kaanza ulofa.
Hahahaha, hapo kuna ya jumuia ,ya sadaka,zaka na mambo yote hadi bia humo humoHizo hizo mkuu..
30 nitapeleka vipaji kwa padri..
Moyo mt. Wa Yesu.Inapendeza kwaya ya wapi? Inabidi nitafute nyimbo zenu
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, hy alkasusu ni nn na kwa nn wanauza masheikh tu ?Mi mwenyewe nakisanusha mwanangu, humu kuna watu walikunywa kahawa na alkasusu na wengine wapo waliofua mashuka mida mibovu
Tukiwafata hawa kesho tutajikuta tunalala hadi saa sita mchana