Silali mzee, napiga shule kidogo.Unalala 🤔
Silali mzee, napiga shule kidogo.Unalala 🤔
[emoji23][emoji23][emoji23] pumbavu sana ww ujue unataka siku niandike huku JF ninastory nzr sana za break up na zinauzunisha sana lakini usitegemee nitaandika hata siku mmoja humu mm nitaandika Entertainment na vingine tu basi.[emoji23][emoji23][emoji23] mzee.. inaonekana heartbreak zako nzuri sana. Usikose kunishtua ikitokea
Sasa unanipaje ushauri wa kigaidi hivyo [emoji23][emoji23]Mimi kulia mbele ya manzi ni ngumu.. kheri nikalie room
OK mkuu mm niko job unaweza acha Kaz for sure kaza kamandaSilali mzee, napiga shule kidogo.
Super Villain
THE INFORMER 2019
[emoji23][emoji23][emoji23] Alaa[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo safi kabisaa...
OK mkuu mm niko job unaweza acha Kaz for sure kaza kamanda
[emoji1531][emoji1531]Nitaishi nayo imefika mahali pake kabisa.
Anae soma kitabu, mguu wa kushoto ame vaa kobazi mguu wa kulia ana mchongoko wa hatari.
Kako kwenye playlist hapa.
Kiatu na sandal kavaa alokaa.
Sana nakula misosi kinoma huwa nashangaa hile appetite inatokaga wapi. [emoji4]
Kwani huwa unaandika thread.. ntakufuma tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbavu sana ww ujue unataka siku niandike huku JF ninastory nzr sana za break up na zinauzunisha sana lakini usitegemee nitaandika hata siku mmoja humu mm nitaandika Entertainment na vingine tu basi.
Pia mlango uliopo nyuma ya jamaa unaonesha anga la blue (mchana)Anae soma kitabu, mguu wa kushoto ame vaa kobazi mguu wa kulia ana mchongoko wa hatari.
Tunaona vingi ambavyo wengi hawaoni.
Nipo ....
Kuna zawadi?
Hommie mguu wa bro ninja hapo mbona kama slipper hiyo naiyona mguu mmoja [emoji23][emoji23]
Sasa umepewa ushauri na muhusika.mimi ni nani hadi nipinge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sasa unanipaje ushauri wa kigaidi hivyo [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mm nikiwa ovyo aah hasira inaishia kwenye kula tu.Una bahati sana.
Watu wanatofautiana.
Kina sie hata harufu ya msosi hatutaki kuiskia.
Mkuu najua upo counter..ngoja nikuachie lindoKiatu na sandal kavaa alokaa.
Sent using OPPO Mobile Phone