Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,806
- 131,360
Utaratibu huu upo mikoani sana hususani darasa la kwanza na lapiliSikuwahi kusoma shift
Shule ni 8am hadi 4pm
Utaratibu huu upo mikoani sana hususani darasa la kwanza na lapiliSikuwahi kusoma shift
Shule ni 8am hadi 4pm
Bia toa bwana.. hata zaka hapana.Hahahaha, hapo kuna ya jumuia ,ya sadaka,zaka na mambo yote hadi bia humo humo
MTC | 101| [emoji769]
Oooh, vzr sanaMoyo mt. Wa Yesu.
Gungu
Siku nikiweza nizi upload pm kwako. Tuna Album 2, moja ina video
Pole ulale vyema mdada mwemaMida yangu ya kupumzika imewadia.
Mbakie salama. Weekend njema kwetu sote.
AhsanteOooh, vzr sana
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23] mm ni msomaji tu wa USD nikionaga yale mabango.Hahahaha, dah wakuu mmepiga hesabu fasta
MTC | 101| [emoji769]
Karibu chamani..
Hahahaha ,bia = mvinyoBia toa bwana.. hata zaka hapana.
30 itaenda kuwategemeza makatekista tu
Hahahaha[emoji23][emoji23] mm ni msomaji tu wa USD nikionaga yale mabango.
Kwasababu unga wake huuzwa misikitini sana, hivyo watu huvaa kanzu kupata access ya kuingia msikitini ili wanunueHahahaha, hy alkasusu ni nn na kwa nn wanauza masheikh tu ?
MTC | 101| [emoji769]
Mwenye chochote hua anapeleka pale mbele kuwapatia makatekista ili nao wajikimu. Since muda mwingi wanautumia kanisa kufundisha watoto na watu wenye mahitaji.Hahahaha ,bia = mvinyo
Kuwategemeza makatekista kivipi ?
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha ,kweli kila biashara ina mbinu zake, ndio wanasema huongeza nguvu za kiume?Kwasababu unga wake huuzwa misikitini sana, hivyo watu huvaa kanzu kupata access ya kuingia msikitini ili wanunue
Lakini kitu kingine ni kwamba hawa watu wanaaminika sana kwamba mtu akivaa kilemba na kanzu basi ni mtu aliyeshika dini haswa hivyo hawezi kuchakachua alkasusu kwa kuweka maji mengi na kuinyima maziwa
Ukiwa mbugira mbugira kama mimi hapa umepiga bonge la shati umekula na jinsi yako chini unaburuza sneaker halafu mkononi umeshika themosi za alkasusu hapo hakuna biashara mzee
Watu watajua alkasusu yako umeichakachua
[emoji23][emoji23][emoji23] mm ni shabiki tu wa George Washington babu.Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Nomba Link online kama ipo
Ali Kiba ana mashabiki wengi na hela nyingi kuliko msanii yeyote Afrika sema tu hapendi show off
Kama wananiona wanipe kibarua asee..
Inapendeza kwaya ya wapi? Inabidi nitafute nyimbo zenu
MTC | 101| [emoji769]
Hizo hizo mkuu..
30 nitapeleka vipaji kwa padri..
Ooh ,hivi katekista hana mshahara? Huwa yuko chini ya nani ? Mie huwa nafanyaga vile nazigawa km nilivyosemaMwenye chochote hua anapeleka pale mbele kuwapatia makatekista ili nao wajikimu. Since muda mwingi wanautumia kanisa kufundisha watoto na watu wenye mahitaji.
So mwenyenacho unapeleka.
Mara nyingi wskati wa sikukuu viwawa hua wanawavisha makatekista na wake zao
Ngoja nilale aseee...Nyinyi mungu wenu kawawekea usiku ili mpumzike nyie mnautumia kuchati sio???
Niwasemee? Semeni suuu
Hahahaha,sawa sawa[emoji23][emoji23][emoji23] mm ni shabiki tu wa George Washington babu.
Aah sijawahi ku prove hilo kwaiyo sijui kama lima ukweli wowote, ila nachojua inasifiwa kua ni dawa ya u.t.iHahahaha ,kweli kila biashara ina mbinu zake, ndio wanasema huongeza nguvu za kiume?
Halafu haya madawa Mengi ya kutibu hizo nguvu ni za masheikh kwann ? Yaani zinauzwa misikitini zaidi
MTC | 101| [emoji769]