Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
Katekista wala padri halipwi.. sema padre majukumu yake hua anajikimu kuoitia fedha tunazotoa..Ooh ,hivi katekista hana mshahara? Huwa yuko chini ya nani ? Mie huwa nafanyaga vile nazigawa km nilivyosema
MTC | 101| [emoji769]
Ila katekista halipwi wala hagusi hata mia 1 ya kanisa. Katekista hua ni mwalimu wa kawaida kama hakuna padre na anashiriki katika kufundisha masuala yote ya imani hasa ndoa ubatizo komonio kipaimara na katukumeni..
Yupo chini ya parokia ya nimbo husika