JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kufagia nakua mgumu kidogo na hilo swala maza analijua, kuna siku niliepuka msala wakubeba viti kwa kulala kwenye geto la mshkaji



It's Scars
Sisi ipo hivi. Leo si wanasali kwetu basi nyumba itakayofuatia ndio wanabeba viti vinaensa kukaa kwao hadi siku ya ibada tena.
Kupanga vitu lazima maza atuamshe maana yuko mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Jitahidi babu ibada nikila kitu amini katika kile unachoamini.
Naam..
Ila sema nimekosea kuna barua nilipewa kanisani nipeleke uongozi wa jumuia sasa kwakua wanasali home nikaiweka chumbani nikasema kua nitawapa hapaahapa nyumbani. Kama isingekua hiyo barua ningelala nisingeamka mm kusali
 
Back
Top Bottom