Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
Marachache sana.. ila jumuia yetu ni watu wachache kama kaya 20 tu
Marachache sana.. ila jumuia yetu ni watu wachache kama kaya 20 tu
usiwe mvivu katika kusali hommie.Naam..
Ila sema nimekosea kuna barua nilipewa kanisani nipeleke uongozi wa jumuia sasa kwakua wanasali home nikaiweka chumbani nikasema kua nitawapa hapaahapa nyumbani. Kama isingekua hiyo barua ningelala nisingeamka mm kusali
[emoji23][emoji23] mm mwenyewe mtu wa mahesabu alafu pia kula napenda pia.
Ndio natengeneza mazingira
Hahahaha, usijari Dogo ,kesho jmos baada ya jumuia nakupa junior tembo card ukatoe mwenyeweMzee hela ya kwenda video hujanipa[emoji3][emoji3][emoji3]
AseeAcha nijiweke karibu...naona kuna faida mara mbili hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] impossible
[emoji23][emoji23][emoji23] sio wrong number hii umepotea hapa.Acha nijiweke karibu...naona kuna faida mara mbili hapa.
Asee
MTC | 101| [emoji769]
Sio mvuvi ila kesho saa 4 tuna misa ya kusherehekea sikukuu ya mtakatifu qa jumui fulani. So lazima nishiriki kwa 90%.usiwe mvivu katika kusali hommie.
Haiwezekani [emoji23]Ukuta tayari?
Hakijaharibika kitu lakini.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio wrong number hii umepotea hapa.
Safi sana,kijana utakuwa , viwawa wewe sioSio mvuvi ila kesho saa 4 tuna misa ya kusherehekea sikukuu ya mtakatifu qa jumui fulani. So lazima nishiriki kwa 90%.
Karibu 70%ya siku za wiki hua niko kanisani (Naimba kwaya, mazoezi kwa wiki siku 4)
Halafu kesho pia ni zamu ya kwaya kusafisha kanisa ajili ya ijumapili. So kesho mpaka 8 hivi ni mishe za kanisa tu
Sio mvuvi ila kesho saa 4 tuna misa ya kusherehekea sikukuu ya mtakatifu qa jumui fulani. So lazima nishiriki kwa 90%.
Karibu 70%ya siku za wiki hua niko kanisani (Naimba kwaya, mazoezi kwa wiki siku 4)
Halafu kesho pia ni zamu ya kwaya kusafisha kanisa ajili ya ijumapili. So kesho mpaka 8 hivi ni mishe za kanisa tu
Hahahaaa eti junior.Hahahaha, usijari Dogo ,kesho jmos baada ya jumuia nakupa junior tembo card ukatoe mwenyewe
MTC | 101| [emoji769]
Haiwezekani [emoji23]
Ndio natafuta usafiri wakunirudisha nilikotoka.
Utukutu hapana....uvivu tu
Hahahaha, hapa muhimu ni kuendelea kubaki kibandani huku[emoji23][emoji23][emoji23] sio wrong number hii umepotea hapa.