Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23] humu unavaa suruali na socks tu.
[emoji23] humu unavaa suruali na socks tu.
Kuna The bad boys imeachiwa sijui kama unapenda black Americans movie.
Huyu pia alikuwa anajua sana bro.. Kazi zake zinajizihirisha mwenyewe kwenye hiliVipi kuhusu Stan Lee
Inapendeza kusikia hivyo!!Niko salama...nashukuru
mm mwenyewe sijaiangalia lakini na mzuka nayo hatari maana niliona 1&2 na hii ni 3 huwa naenjoy comedy za mule tu.Acha nichungulie...nimekuwa nabanwa na kazi nakosa mda...mpaka likizo
Salama kabsa..habar za kwako?
Njoo chukua zangu
mm mwenyewe sijaiangalia lakini na mzuka nayo hatari maana niliona 1&2 na hii ni 3 huwa naenjoy comedy za mule tu.
Will na Martin ni duo moja matata sana kwenye comedy na actions.Super Villain
Bad boys yes...nitaipenda nilishaonaga 2 za mwanzo.
[emoji15][emoji15] Haya nitakuambia last weekend mungu akijalia uzima.Tazama uje unisimulie eehh[emoji6][emoji6][emoji6]