Subiri wageuke na kwakoNimefunua pazia kidogo baada ya machale kunicheza nikachungulia dirishani kwa mbali naona vijana wanne mmoja kama anatoboa nyavu ya dirisha la nyumba ya jirani inayonipa kisogo mwengine ameshika kitu kama spray anapuliza nilichoamua hapa sahivi ni
Kurudishia taratibu pazia
Kurudi kitandani kujifunika shuka kushika simu yangu na kuendelea kuperuz ndo naperuzi taratibu hapa jf
02:03
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuomba huku mara moja, tutete jambo.Napita
Natumai wazima
NimekujaNakuomba huku mara moja, tutete jambo.
Safi, kitambo sana bibie, ulikuwa wapi ?Nimekuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha hatari yaan umetulia kama hujui kinatokea nn kwa jirani yako.Nimefunua pazia kidogo baada ya machale kunicheza nikachungulia dirishani kwa mbali naona vijana wanne mmoja kama anatoboa nyavu ya dirisha la nyumba ya jirani inayonipa kisogo mwengine ameshika kitu kama spray anapuliza nilichoamua hapa sahivi ni
Kurudishia taratibu pazia
Kurudi kitandani kujifunika shuka kushika simu yangu na kuendelea kuperuz ndo naperuzi taratibu hapa jf
02:03
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo duniani ila muda wa kuja kuwasalimu humu naukosa kabisaSafi, kitambo sana bibie, ulikuwa wapi ?
Kashalala huyo mke wa mtu babu [emoji4]Huyu binti aitwae Aurora akija naombeni mnistue.
Uwe unakuja kuja aisee, uwepo unahitajika ssna humu ndani, tena hasa mimi ndio nina uhitaji sana uwepo wako humu.Nipo duniani ila muda wa kuja kuwasalimu humu naukosa kabisa
Poa, akiamka mtampa taarifa.Kashalala huyo mke wa mtu babu [emoji4]
Ussijali nitajitahidiUwe unakuja kuja aisee, uwepo unahitajika ssna humu ndani, tena hasa mimi ndio nina uhitaji sana uwepo wako humu.
yy atazikuta tu mbona mambo yapo nje nje [emoji4]Poa, akiamka mtampa taarifa.
Ufanye hivyo, si unajua kila kimeumbwa paired mpaka vile tusivyo vijua navyo viko "pair".Ussijali nitajitahidi
Siwezi sahau hilo asilanUfanye hivyo, si unajua kila kimeumbwa paired mpaka vile tusivyo vijua navyo viko "pair".
Mimi na wewe, ndio pair yenyewe sasa.
Acha nikupende tu hamna namna.Siwezi sahau hilo asilan
[emoji7][emoji7]Acha nikupende tu hamna namna.
Mpaka mwili umetetema.[emoji7][emoji7]