chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,441 Don Clericuzio said: Kunywa maji ya Kilimanjaro ya baridi, ukimaliza lita 1.5 pombe yote umeifuta. Click to expand... Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewa
Don Clericuzio said: Kunywa maji ya Kilimanjaro ya baridi, ukimaliza lita 1.5 pombe yote umeifuta. Click to expand... Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewa
HB wa kigogo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 2,489 Reaction score 6,251 Dec 15, 2019 #69,442 Don Clericuzio said: Sana, hili lindo tunapokea baadae tunarudi. Sasa hivi utakutana na walinzi waandamizi wapya wengi tu. Click to expand... Kabisa, Naona kuna makorokoroni wengi wapya. Sent using Jamii Forums mobile app
Don Clericuzio said: Sana, hili lindo tunapokea baadae tunarudi. Sasa hivi utakutana na walinzi waandamizi wapya wengi tu. Click to expand... Kabisa, Naona kuna makorokoroni wengi wapya. Sent using Jamii Forums mobile app
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,443 chiqutitta said: Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewa Click to expand... Kama unanywea home ruksa, muda ukifika mwenyewe utaegesha.
chiqutitta said: Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewa Click to expand... Kama unanywea home ruksa, muda ukifika mwenyewe utaegesha.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,444 HB wa kigogo said: Kabisa, Naona kuna makorokoroni wengi wapya. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndiyo ndiyo, tunalisongesha kuhakikisha tunafunga mwaka kila kitu kiko sawa.
HB wa kigogo said: Kabisa, Naona kuna makorokoroni wengi wapya. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndiyo ndiyo, tunalisongesha kuhakikisha tunafunga mwaka kila kitu kiko sawa.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,445 troublemaker said: Weekend mtu kama leo tumelala peke yetu... Daaaah.. Click to expand... Tafuta hela.
troublemaker said: Weekend mtu kama leo tumelala peke yetu... Daaaah.. Click to expand... Tafuta hela.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Dec 15, 2019 #69,446 mama D said: Lindoni tupo wangapi? Click to expand... Wakitokea majambazi ndiyo utajua upo pekee yako lindoni
mama D said: Lindoni tupo wangapi? Click to expand... Wakitokea majambazi ndiyo utajua upo pekee yako lindoni
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Dec 15, 2019 #69,447 chiqutitta said: Mmmh mie sijui ndio uniambie mate Click to expand... Endelea kula vyombo nitakuambia baadae mate
chiqutitta said: Mmmh mie sijui ndio uniambie mate Click to expand... Endelea kula vyombo nitakuambia baadae mate
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,448 Don Clericuzio said: Kama unanywea home ruksa, muda ukifika mwenyewe utaegesha. Click to expand... Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewa
Don Clericuzio said: Kama unanywea home ruksa, muda ukifika mwenyewe utaegesha. Click to expand... Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewa
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,445 Dec 15, 2019 #69,449 Don Clericuzio said: Tafuta hela. Click to expand... Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela?
Don Clericuzio said: Tafuta hela. Click to expand... Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela?
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,450 Iceberg9 said: Endelea kula vyombo nitakuambia baadae mate Click to expand... Haya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hivi
Iceberg9 said: Endelea kula vyombo nitakuambia baadae mate Click to expand... Haya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hivi
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Dec 15, 2019 #69,451 chiqutitta said: Haya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hivi Click to expand... Dumbukia kwenye pipa mate
chiqutitta said: Haya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hivi Click to expand... Dumbukia kwenye pipa mate
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,452 troublemaker said: Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela? Click to expand... Hela ni matumizi bro, ukiwa na hela kiasi cha unaweza kumiliki mtu, kumhudumia kwa kila kitu na mambo yako yakawa yanaenda tayari hiyo ni hela. Na haya malalamiko ya kwamba unalala peke yako yataisha.
troublemaker said: Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela? Click to expand... Hela ni matumizi bro, ukiwa na hela kiasi cha unaweza kumiliki mtu, kumhudumia kwa kila kitu na mambo yako yakawa yanaenda tayari hiyo ni hela. Na haya malalamiko ya kwamba unalala peke yako yataisha.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,453 chiqutitta said: Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewa Click to expand... Siku hizi nina kichwa fake, zamani ningeweza kumaliza crate ila siku hizi nikifika 10 tu naanza kutafuta maji ya kunywa nidilute.
chiqutitta said: Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewa Click to expand... Siku hizi nina kichwa fake, zamani ningeweza kumaliza crate ila siku hizi nikifika 10 tu naanza kutafuta maji ya kunywa nidilute.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,445 Dec 15, 2019 #69,454 Don Clericuzio said: Hela ni matumizi bro, ukiwa na hela kiasi cha unaweza kumiliki mtu, kumhudumia kwa kila kitu na mambo yako yakawa yanaenda tayari hiyo ni hela. Na haya malalamiko ya kwamba unalala peke yako yataisha. Click to expand... Hayo yote mbina namudu eti. Kuna mahali kwingine nakwama.
Don Clericuzio said: Hela ni matumizi bro, ukiwa na hela kiasi cha unaweza kumiliki mtu, kumhudumia kwa kila kitu na mambo yako yakawa yanaenda tayari hiyo ni hela. Na haya malalamiko ya kwamba unalala peke yako yataisha. Click to expand... Hayo yote mbina namudu eti. Kuna mahali kwingine nakwama.
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,455 Iceberg9 said: Dumbukia kwenye pipa mate Click to expand... Hunitakii mema kabisa mate
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,456 Don Clericuzio said: Siku hizi nina kichwa fake, zamani ningeweza kumaliza crate ila siku hizi nikifika 10 tu naanza kutafuta maji ya kunywa nidilute. Click to expand... Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbona
Don Clericuzio said: Siku hizi nina kichwa fake, zamani ningeweza kumaliza crate ila siku hizi nikifika 10 tu naanza kutafuta maji ya kunywa nidilute. Click to expand... Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbona
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,457 troublemaker said: Hayo yote mbina namudu eti. Kuna mahali kwingine nakwama. Click to expand... Basi hujataka kufanya maamuzi, au labda bado hujapata sababu (motivation). Siku ukiwa motivated unajikuta unaanza kujiuliza ulikuwa wapi siku zote hizo. BTW, hizi kitu hazina haraka.
troublemaker said: Hayo yote mbina namudu eti. Kuna mahali kwingine nakwama. Click to expand... Basi hujataka kufanya maamuzi, au labda bado hujapata sababu (motivation). Siku ukiwa motivated unajikuta unaanza kujiuliza ulikuwa wapi siku zote hizo. BTW, hizi kitu hazina haraka.
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,786 Reaction score 45,266 Dec 15, 2019 #69,458 mama D said: Mpaka kukucheeee Click to expand... Wewe una kila dalili za kusinzia wewe
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 15, 2019 #69,459 chiqutitta said: Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbona Click to expand... True, siku hizi kampani yangu wengi tuko busy busy. Kiasi hata kunywa kama kundi ni mara chache.
chiqutitta said: Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbona Click to expand... True, siku hizi kampani yangu wengi tuko busy busy. Kiasi hata kunywa kama kundi ni mara chache.
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Dec 15, 2019 #69,460 Don Clericuzio said: True, siku hizi kampani yangu wengi tuko busy busy. Kiasi hata kunywa kama kundi ni mara chache. Click to expand... Ndo maana unakunywa chache, Manake raha ya kunywa muwe wengi tena msio wavivu ndo starehe inakuwa bomba
Don Clericuzio said: True, siku hizi kampani yangu wengi tuko busy busy. Kiasi hata kunywa kama kundi ni mara chache. Click to expand... Ndo maana unakunywa chache, Manake raha ya kunywa muwe wengi tena msio wavivu ndo starehe inakuwa bomba