Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
kumbe!!!!!Humu watu hawalindi walanini watu wanatongozana sisi tunaita wanawindana.
Sasa nasema hivi OLE WENU.............
kumbe!!!!!Humu watu hawalindi walanini watu wanatongozana sisi tunaita wanawindana.
Sasa nasema hivi OLE WENU.............
Poa.kumbe upoMambo?
Asante kwa kutilia mkazo taarifa nilizo zipata.[emoji23] ni mzuri haswa kila nikimuonaga hua natamani kumtongoza upya
Yaani wewe....Poa.kumbe upo
So long
Nimefanyeje tena ?Yaani wewe....
Nimefanyeje tena ?
[emoji23]tafuta gariAsante kwa kutilia mkazo taarifa nilizo zipata.
Nitachukua a mkopo aishofu. Kwahiyo umemtema au ?[emoji23]tafuta gari
Anapenda sana gari
Wow ThenxNimekukumbuka tu
Mi sijamtemaNitachukua a mkopo aishofu. Kwahiyo umemtema au ?
shukran!Well done time keeper wetu[emoji122][emoji122][emoji122]
Wenyewe vijana huwa wanasema "Collabo".Mi sijamtema
Ila hajatulia na waswahili husema kizuri kula na nduguyo
So nimeamua tule wote kizuri mkuu
Bila bila....tokea jmosi bila bila. ..Wow Thenx
How was your weekend ?
Haswaa mkuuWenyewe vijana huwa wanasema "Collabo".
Asante sana.............Embu muite kwanza aje hapa.
Utampa salamu.Haswaa mkuu
Naona amelala
Hapo umeniachaBila bila....tokea jmosi bila bila. ..
Zimefika ,mkuuUtampa salamu.
Hapo umeniacha
Ndio nini hiyo bila bila ? Mi muhenga kidogo
Ngosha mbona tunachomeana tena? Kwani yeye hana chura? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Ndege wako ni mimi
Huyo simba ya buyenze anapenda chura hajatulia atakuumiza
Mtu chake kauzu hana stori na watoto wa kike he is happyly married