Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Wala show sio tatizoSiyo show ya kibabe? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wala show sio tatizoSiyo show ya kibabe? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Muda na wakati wowoteKinitiacho shaka ni WAKATI,yaani LINI ?
Unaweza shangaa unachati na mchawi, bia kujua😵😵Kwanini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenisusa mnyantuzu wangu[emoji6]Really ? I miss you too my sun shine
Hapo sasa ndio kuna shaka yenyewe........Muda na wakati wowote
Nipo. Hua nataka uni miss kidogoUmenisusa mnyantuzu wangu[emoji6]
Unawaogopa wachawi? Hao ni wasanii tu kama wasanii wengineUnaweza shangaa unachati na mchawi, bia kujua😵😵
Nipo. Hua nataka uni miss kidogo
Napotea humu naamia youtube ili nikirudi nikute maneno matamu ka haya
Tasnia yao inapungua polepole, sio kama zamani...nadhani wameona kua haida dili zama hiziUnawaogopa wachawi? Hao ni wasanii tu kama wasanii wengine
Uchawi wa kizungu umepiku wa kijadiTasnia yao inapungua polepole, sio kama zamani...nadhani wameona kua haida dili zama hizi
Mnyantuzu wa Lubumbashi au wa Simiyu huyu?Umenisusa mnyantuzu wangu[emoji6]
Huyo namsitiri tu kwa kivuli cha unyantuzu ila najua ni mubembeMnyantuzu wa Lubumbashi au wa Simiyu huyu?
Nipoo ...Jamani nipooooo ..nilichomoka mara moja nilienda dukani hapoTatizo lako ukishaitika kama hivi unapotea mazima
Umetununulia nini huko dukani?[emoji39][emoji39][emoji39]Nipoo ...Jamani nipooooo ..nilichomoka mara moja nilienda dukani hapo
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Njoo PM utaionaAlaa kumbe! Haya umeniletea zawadi gani?
Hivi ulitaka kuandika "mpemba" au ?Huyo namsitiri tu kwa kivuli cha unyantuzu ila najua ni mbemba
[emoji23]Mnyantuzu wa Lubumbashi au wa Simiyu huyu?
Hivi ulitaka kuandika "mpemba" au ?
Na kati ya "Wabembe" au "Wabemba"ipi sahihi ?
Bora ufanye hivo coz sina uraia[emoji16] nikifukuzwa na penzi letu ndio kwishaHuyo namsitiri tu kwa kivuli cha unyantuzu ila najua ni mbemba