JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji849][emoji849][emoji849] Akina nani hao wanatongozana muda wa kazi?
Humu watu hawalindi walanini watu wanatongozana sisi tunaita wanawindana.

Sasa nasema hivi OLE WENU.............
 
Jamani bando limeniishia naomba mnitumie vocha nijiunge[emoji39]
 
Kama ni Thad wangu muache kabla sijaingia msituni.
Huyu mtoto ndio kila kitu kwangu
Kaka wewe sema tu nikuachie kwa amani na salama,ila ukitaka kuingia msituni nitapoteza vibaya vibaya katika huu uso wa dunia.........

Nimeacha kaka mkubwa,ila akiingia kwenye frequency zangu ukubali matokeo tu. Tena navyopenda vitu vizuri na nimeshapata sifa zake kwamba mtoto mzuuuri.
 
[emoji23] ni mzuri haswa kila nikimuonaga hua natamani kumtongoza upya
 
Back
Top Bottom