Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Well done time keeper wetu[emoji122][emoji122][emoji122]00:00
Well done time keeper wetu[emoji122][emoji122][emoji122]00:00
Sasa bibie nikajua umetoka kwenye mechi unapumzika muda huu,lakini naona unaliunga. Pumzika aisee,usije ukaweweseka usingizini kwa mechi ya leo.Si unajua lakini athari za mvinyo? Haya njoo uchukue unataka mwekundu au mweupe?[emoji848]
Kuna mdeni Wangu kaingia Lindo. ..sijui Leo atanilipa
Halikuwa kusudio langu nawe wajua hivyoJinsi ulivyo na roho ngumu kuniacha mpweke sins furaha
Sasa bibie nikajua umetoka kwenye mechi unapumzika muda huu,lakini naona unaliunga. Pumzika aisee,usije ukaweweseka usingizini kwa mechi ya leo.
ahsante kwa kujaOk, naja
Mwekundu tafadhali athari tutaziangalia badae kidogoSi unajua lakini athari za mvinyo? Haya njoo uchukue unataka mwekundu au mweupe?[emoji848]
Mami vipi mbona wajiquote? Au ndo mambo ya weekend?Nimekuona Ujue................
Nadhani upendo ushakufa kabisa..Halikuwa kusudio langu nawe wajua hivyo
Hilo nalijua vilivyo,kama vile sisi waungwana tusemavyo " Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti" au "Uzuri wa mkakasi ukiutia maji basi"Usisahau kuwa sio kila ling'aalo ni dhahabu
Mami vipi mbona wajiquote? Au ndo mambo ya weekend?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huo umepata, utakunywa mpaka utakapoona umezidi kukuathiri[emoji6]Mwekundu tafadhali athari tutaziangalia badae kidogo
Na mimi nimeshangaaMami vipi mbona wajiquote? Au ndo mambo ya weekend?
MmmmmhNadhani upendo ushakufa kabisa..
ha ha ha vip tena mvinyo ushaanza kukuelemea nikubebeMami vipi mbona wajiquote? Au ndo mambo ya weekend?
Shost umeanza lini kukalia viti virefu? Mbona dada yako sina taarifa?[emoji23]Nimejishtukia...ila nilimwona amepita
Ngoja nijiachie japo najua namuudhi mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23] Huo umepata, utakunywa mpaka utakapoona umezidi kukuathiri[emoji6]
Na mimi nimeshangaa