Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,910
- 28,200
Watu tushapagawa siku hizi,huu uzi una historia ndefu,kwahiyo kila generation ya uzi huu ina tabia zakeMkijiskia tu mnauamsha... Naonaga hata mchana unatrend sometimes 😂😂
Sisi wa sasa hivi hatufungwi na wakati, tunaliamsha tu
Sijui next generation watakuja kuufanyaje huu uzi🤣🤣