Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Daah,kaka mkubwa unatuyumbisha aisee................Ngosha mbona tunachomeana tena? Kwani yeye hana chura? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 882835
Kweli ? Unanidai nini ?Unajua wewe ndio yule mdeni wangu ninayemtafuta humu ndani?
Inakuaje lakini?
Bila bila za mpira. ..timu zangu zilikuwa zinacheza weekend hii
[emoji23]nafanya fitnaNgosha mbona tunachomeana tena? Kwani yeye hana chura? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 882835
Huu mzigo ndio ugonjwa WanguNgosha mbona tunachomeana tena? Kwani yeye hana chura? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 882835
[emoji23]huyo jamaa hizi pichA sijui anatoa wapiHuu mzigo ndio ugonjwa Wangu
Haya nimeacha. Watakatifu nyie [emoji16][emoji16][emoji16]Daah,kaka mkubwa unatuyumbisha aisee................
Kweli ? Unanidai nini ?
As for mpira.maisha yangu yote sijawahi kuangalia mpira.
Miss you baby shem[emoji8]kumbe!!!!!
[emoji16]tatizo umefung PM sasa kukusalimia inakua ni processSalam ndio lilikuwa deni lako.
Basi tuache sisi tuangalie.
Mi nawasaidia kulegeza karaha za lindo nyie mnanilalamikia. Kha !!![emoji23]huyo jamaa hizi pichA sijui anatoa wapi
[emoji16]tatizo umefung PM sasa kukusalimia inakua ni process
Daaah ! Tuhurumiane kaka mkubwa.Haya nimeacha. Watakatifu nyie [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 882840
Ndo tumeamka mkuuAmjalalala tu saivi
Hii ni dalili ya usingizi, naona mwataka kulala. Haya kojoeni mlale watoto wazuri eeeh![emoji23]