Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,971
Upo upande ganiMimi
Upo upande ganiMimi
Nine SAA ngapi?
Na wewe unaniaibisha ni "kahawa" banaKaribuni gahawa ipo tayari inasubiri wanywaji
Kuna sababu nyingi sana sana...Lakini kwa nini sisi tuko macho hadi muda huu?
Upande was juuUpo upande gani
Muda mrefu sasaLindo likishafungwa
Sotojo ndio nani ? Ni mwana JF ?Maison now.....nani yupo around nimpe mauno ya sotojo....lols
Muda mrefu sasa
[emoji3][emoji3][emoji3]anaubembelezaje sasa peke yake?
...ndio maana umegoma.
HahahahSotojo ndio nani ? Ni mwana JF ?
Mvumilivu hula makomboMvumilivu hula mbivu
Ebu tujitathmini,tupo bize sana,msongo wa mawazo,changamoto za kimaisha,changamoto za kimahusiano,au zipi..?Kuna sababu nyingi sana sana...
mmmmh unaijuaa kweli ww??Upande was juu
Nielekeze vzurii bibieM
mmmmh unaijuaa kweli ww??
mh![emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna wenye afueni wana kuwa na moja kati ya hayo....wengine ni moja kati ya starehe zao...Ebu tujitathmini,tupo bize sana,msongo wa mawazo,changamoto za kimaisha,changamoto za kimahusiano,au zipi..?