Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Hamna mtu ambaye hapendi sifa, wahaya mmewabandika hizo sifa ndomana wanawafanyia hivyohivyo, hata mhaya asiyejua kitu atajifanya anajua na amesoma kwasababu anaamini ndo mnavyomchukulia hivyo, km walivyokuwa wamakonde na wazaramo a.k.a waswahili wanaamini jamii inawachukulia km watu wanaopenda mambo ya kiaina flani nao wanayafanya hayo hayo, au watu wa arusha wanavyochukuliwa km wasela flani wahuni tu a.k.a wadudu nao wanaishi maisha yao kureflect hivyo ila makabila yote yapo sawa tu, mnavyowachukulia ndo wanavyoishi,Hapo ila wahaya namba uno hawa watani wangu.. Nachekaga sana mambo yao