Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
funguo za wapi?Tuyaachie hapo. ..ukija chukua funguo nitakuimbia
funguo za wapi?Tuyaachie hapo. ..ukija chukua funguo nitakuimbia
kama sasa hivii wazee chaliii watoto full kusoma nondo za washuaa [emoji39][emoji39][emoji39]Kufuga kucha UCHAFU kaka mkubwa. Kimaumbile binadamu hatakiwi kifuga vuzi,nywele za kwapa na kucha. Hii faida nimekupa.
subiri kwanza, kesho si hatutoki hata hivyo.Munchie Leo hatulali?
Ha ha ha asubuhi itakuwa ni full uchovu,ndio kuamka saa saba mchanaKuna wenye afueni wana kuwa na moja kati ya hayo....wengine ni moja kati ya starehe zao...
Shida ni kwa sisi wenye karibu ya yote hayo.... .....
Ha ha ha mbona unaguna?
Kufuga kucha UCHAFU kaka mkubwa. Kimaumbile binadamu hatakiwi kifuga vuzi,nywele za kwapa na kucha. Hii faida nimekupa.
karibu bachelors tunaruhusiwa kupita madirishani kukusanya mbinu za kivitaa si unajua akiba haiozii kakaMbeya Express imenifanya niione thread ya JF Usiku wa Manane
Maana ndio muda huu ndio nimefika kigoma kutokea sumbawanga. Never happened before
Mbeya Express imenifanya niione thread ya JF Usiku wa Manane
Maana ndio muda huu ndio nimefika kigoma kutokea sumbawanga. Never happened before
Akigundua upo humu atatoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mdeni Wangu kaingia Lindo. ..sijui Leo atanilipa
subiri kwanza, kesho si hatutoki hata hivyo.
Mungu mwema, asante nimefika salamaPole kwa Safari
Namwona ana Like tuAkigundua upo humu atatoka nduki [emoji16][emoji16][emoji16]
Anafanyaje kazi za nyumbani,mfano kufua n.k ?
Natumaini muda huu akili ndio inafanya kazi vizuri
Bro huyo atakuwa ana matatizo ya akili. Hafanyi hivyo isipokuwa mtu mwenye matatizo ya akili.
Ha ha ha ni mimi au ?Namwona ana Like tu