Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Wewe hutaki kuwa Nyuki mpenda Maua mazuri?oohh! haya ngoja tumsubiri huyo nyuki [emoji37]
NirushieFanya upite. ..funguo niliziacha juu ya kabati
Mi niko lindoni. ...kama hufiki chukua kigoda upande juuNirushie
Hapo ila wahaya namba uno hawa watani wangu.. Nachekaga sana mambo yaoHahahha kwa hyo hakuna kabila linalopenda sifa tofauti na watu wa BK
ua langu hili nililolipenda kabla halijachanua na hadi sasa limechanua linanitosha mimi.Wewe hutaki kuwa Nyuki mpenda Maua mazuri?
Watani zangu siwaogopiUchokoziiii
Kuna mkeks tu bibadeMi niko lindoni. ...kama hufiki chukua kigoda upande juu
Uno, Dos, Tres, Cuatro, Cinco. ...umenikumbusha vidudu/chekecheaHapo ila wahaya namba uno hawa watani wangu.. Nachekaga sana mambo yao
Haya usiache kulimwagia Maji....ua langu hili nililolipenda kabla halijachanua na hadi sasa limechanua linanitosha mimi.
You count in hispanyoraUno, Dos, Tres, Cuatro, Cinco. ...umenikumbusha vidudu/chekechea
Acha hizo. ..kabati nalo umepiga bei?Kuna mkeks tu bibade
siwezi kuachaHaya usiache kulimwagia Maji....
Hata sikujua lugha nilikuwa nafundishwa tuYou count in hispanyora