JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nna uhakika wewe hukunywa, bali ulifakamia ukazima labda, sisi tunaokunywa wala hatuna hizo viapo, na mambo yanasonga, so usiudanganye umma mkuu, kama kunywa kubaya je tuseme ngono ni mbaya kwakuwa kuna mtu aliyegonga dem siku ya kwanza akaukwaa ukimwi au gono basi awaambie watu wote kule kwenye utam ni nuksi wasije kujaribu
Basi umeshinda kiongozi. Ila sio mambo ya kujisifia kabisa. Havimfanyi MTU kua mwanaume imara/real gentleman
 
Back
Top Bottom