Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
mhNaomba ukalinde PM yangu hapa tuko Lindo la JF
mhNaomba ukalinde PM yangu hapa tuko Lindo la JF
Kimario na Pombe mmeshindwana?Uko kama mimi aisee mi na pombe yoyote ni mbalimbali sana
Mbona mimi wanareply tuu kila siku, napiga nao stori hadi usiku wa manane, au wao hawaombwi account numberYou can't expect a girl to reply your 'How're you?',When someone else is asking her for her account number ..
Hivi humu wake zetu wamebaki wangapi ?
ni kweri huyo ni nyuki bandia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudisha kale kaavataani kweri huyo ni nyuki bandia?
Maswali mengi si dhamira yangu kuyauliza sema yananiponyoka tu,najikuta "haya hapa"ila ningekuwa nauwezo wa kuyarudisha ningeyarudisha tu......Ila hakuna namna.Usiku wa Leo una Maswali Fikirishi
Yes nakubali, so refer kwenye comment yako ya mwanzo, unajisifia kuwa unakunywa juice na milk only no beer so wewe unaonekana sio REAL GENTLEMAN mkuu, Be a Gentleman and say you drink occasionally! [emoji848]Basi umeshinda kiongozi. Ila sio mambo ya kujisifia kabisa. Havimfanyi MTU kua mwanaume imara/real gentleman
itakuwa zinatafuta watoto kwanza...zitakuja baadae!Mi nimeshtukia mbona nimetabasam tu, nikaachana nayo
ha ha ha...Kimario na Pombe mmeshindwana?
Nimecheka mpaka machozi. ...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbona unalia ?
Bro umepewa kazi ngumi nini,ya kulinda PM ya mtoto wa kike,huchelewi kuongea peke yako.
Kipi kimekichekesha ?Nimecheka mpaka machozi. ...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
sijakuelewaRudisha kale kaavataa
Salama kabisa. ...umenikumbusha mbali na hilo jina Mkiwa.Hahaha kwema lkn
Nmekukumbusha wapi hukoSalama kabisa. ...umenikumbusha mbali na hilo jina Mkiwa.
Wataka nikubali nakunywa wakati sinywi? Hats Sikh hiyo nilikunywa kutokana Na msukumo wa marafiki(tulikua twabishana) kuna vitu vingi vinamfanya mwanaume awe Gentleman ila unywaji was kilevi katu haumfanyi MTU kua G'manYes nakubali, so refer kwenye comment yako ya mwanzo, unajisifia kuwa unakunywa juice na milk only no beer so wewe unaonekana sio REAL GENTLEMAN mkuu, Be a Gentleman and say you drink occasionally! [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro umepewa kazi ngumi nini,ya kulinda PM ya mtoto wa kike,huchelewi kuongea peke yako.
Unahitaji nini?Nami nahitaji
Lindo pm kwako!Unahitaji nini?