Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,076
May be atakae kua mama watoto wanguNani kama Mama!
May be atakae kua mama watoto wanguNani kama Mama!
Nilikua naangalia wale waliowahi lindo siwaoniHaupendezeiii
Mwaka 2016 nilikunywa, yaliyonikuta nayajua mwenyewe. SirudiiAfu unajiita mtu mzima, sasa km wewe hujawah kunywa unasema kunywa ni kubaya je hawajakuambia usigonge demu kabla ya kumuoa?
Kweli aisee.Kisaikoloji binadamu kaumbwa haishi kama alivyo.Asiishi kwa maigizo kwani maigizo yana fedhea zake,,
Samahani sana kwa kuingia ndani zaidi na nitaishia hapo,
penye wengi pana mengi..Hivi ishatokea humu jf watu wakagombea binti hadharani ?
Nimeuliza tu.........
Gudume Na chizi maarifa..Hivi ishatokea humu jf watu wakagombea binti hadharani ?
Nimeuliza tu.........
Uko kama mimi aisee mi na pombe yoyote ni mbalimbali sanaMwaka 2016 nilikunywa, yaliyonikuta nayajua mwenyewe. Sirudii
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dem ananiitia leo niende kwake na yeye huringa kucome kwangu[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi leo acha nijifanye nanyesha...siendi[emoji23][emoji23]
Nna uhakika wewe hukunywa, bali ulifakamia ukazima labda, sisi tunaokunywa wala hatuna hizo viapo, na mambo yanasonga, so usiudanganye umma mkuu, kama kunywa kubaya je tuseme ngono ni mbaya kwakuwa kuna mtu aliyegonga dem siku ya kwanza akaukwaa ukimwi au gono basi awaambie watu wote kule kwenye utam ni nuksi wasije kujaribuMwaka 2016 nilikunywa, yaliyonikuta nayajua mwenyewe. Sirudii
Duuuh......!penye wengi pana mengi..
tena vita kali!
Hivi ishatokea humu jf watu wakagombea binti hadharani ?
Nimeuliza tu.........
Wape salamu zangu.Gudume Na chizi maarifa..