JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nataka nifungue AC ya kumsifu huko twitter afu namtag
Cv yangu yote naweka pale ili nile mema ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kuna mwana anafanyaga hivo kule twitter daah mpk washkaji tunaonaga noma sana,ye anamsifiiiia afu mwishoni pale anasema huyu ndiye masiha tuliyekua tunamsubiria hahah.
 
Hahah kuna mwana anafanyaga hivo kule twitter daah mpk washkaji tunaonaga noma sana,ye anamsifiiiia afu mwishoni pale anasema huyu ndiye masiha tuliyekua tunamsubiria hahah.
Hahaha [emoji23] huyo ataula tu we subiri uone
Mkuu anapenda hizo
Si unaona msigwa anachofanya ? Hadi ac zake binafsi anatoa habari za mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom