Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,076
Rudisha avatar ya mwanzo. Not recommendedsijakuelewa
Rudisha avatar ya mwanzo. Not recommendedsijakuelewa
ni kweli huyo ni nyuki bandia?
Kaka una moyo wa spare nini ?Lindo pm kwako!
Sijui. Haja ning'ata badoni kweri huyo ni nyuki bandia?
Nimekuelewa ....[emoji4][emoji4][emoji4]Maswali mengi si dhamira yangu kuyauliza sema yananiponyoka tu,najikuta "haya hapa"ila ningekuwa nauwezo wa kuyarudisha ningeyarudisha tu......Ila hakuna namna.
Hapana in misuli Na mishipaKaka una moyo wa spare nini ?
Kongole nyingi sana zikufikie.Hapana in misuli Na mishipa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bro umepewa kazi ngumi nini,ya kulinda PM ya mtoto wa kike,huchelewi kuongea peke yako.
PM ya mtoto wa kike gani?Bro umepewa kazi ngumi nini,ya kulinda PM ya mtoto wa kike,huchelewi kuongea peke yako.
Kila kituKipi kimekichekesha ?
Kwan wewe unajua maana ya Gentleman, hivi unajua Baada ya kazi ya kutwa ya kujenga nchi na kuleta mabafiliko, mabingwa wanakutana pamoja na kujumuika na kunywa Safari Lager, tangu mwaka 1977 inafahamika hivyo, sasa wewe ni nani kusema huo sio uGENTLEMAN?? Umesikia wapi MAGENTLEMAN wanakutana kujipongeza na juice na milk, Hamna Gentleman ambaye hanywi hata Wine, Whisky, Beer, hajawah kutokea dunia hii. We are the Gentlemen, and we Drink Occasionally!Wataka nikubali nakunywa wakati sinywi? Hats Sikh hiyo nilikunywa kutokana Na msukumo wa marafiki(tulikua twabishana) kuna vitu vingi vinamfanya mwanaume awe Gentleman ila unywaji was kilevi katu haumfanyi MTU kua G'man
Kwetu MikahawaniNmekukumbusha wapi huko
sio mimi nilieitoaRudisha avatar ya mwanzo. Not recommended
Nenda. ...Lindo pm kwako!
sawa, asikusogelee sasa huyo nyukiSijui. Haja ning'ata bado
Nahisi nyukiSwali linaenda kwa nani hilo ?
Nani aliitoa?sio mimi nilieitoa