Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Njoo na wewe usiishie kutuangalia tuNawaangalia tu
Njoo na wewe usiishie kutuangalia tuNawaangalia tu
DuhSi unaona kashajiita choka [emoji23] [emoji23]
Asee[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha ni mchovu sio?
Ningekutafutaje bila ridhaa yako?Hukunitafuta ,hahaha
Nimekuona tatizo uko bize siku hiziMimi mbona hunisalimii ina maana hunioni au?[emoji23]
Mie sijuiInamaana nikifika hatutalinda tena?
Nishajumuika, mnaitania humo PmNjoo na wewe usiishie kutuangalia tu
Hahaha, haina tatizo siku nyingineNingekutafutaje bila ridhaa yako?
Usicheke kweli huyu atakuwa ni maneno tupu yasiovunja mfupaHahaha
Siwezi kujua kwa kweliUsicheke kweli huyu atakuwa ni maneno tupu yasiovunja mfupa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si unaona kashajiita choka [emoji23] [emoji23]
Au nimekuwa mweusi sana kiasi kwamba sionekani?Nimekuona tatizo uko bize siku hizi
Sorry lakini[emoji4]
Naomba nije pm kwako pia [emoji6]Nishajumuika, mnaitania humo Pm
Karibu Ipo waziNaomba nije pm kwako pia [emoji6]
Kwahiyo umeniruhusu siku nyingine nikija nikutafute?[emoji6]Hahaha, haina tatizo siku nyingine
[emoji16] nah .ulikua tu bize sana ndo tatizo but i miss uAu nimekuwa mweusi sana kiasi kwamba sionekani?
Nilisema mm nitabaki pekee yangu hapaNaomba nije pm kwako pia [emoji6]
HahahaKwahiyo umeniruhusu siku nyingine nikija nikutafute?[emoji6]
Asante nishafika ila mlango umegoma kufungukaKaribu Ipo wazi
HahahaKaribu Ipo wazi