Itapendeza !Basi kesho nitakutafuta ondoa hofu
Itapendeza !Basi kesho nitakutafuta ondoa hofu
Nini sasa?Acha hizo
timezones zinani-fascinate sana05:58....Upande wa Asia nafunga lindo...
Figisu....penda sana hili nenohehe figisu ziko za aina nyingi
Atakuwa ameshamuona huyo !Tochi unayo? Maana na hili Giza sidhani kama utamuona
haya twendeUkienda wewe nami nitaenda.
mtandao ipi?Mda wa kudownload softwares pamoja na movies mpk asubui
Sawahaya twende
Watoto wa kike harakati zenu huwa zinanipa raha sana...!Kuna watu wanachambana kwenye group huko whatsapp
Mkuu unataka wanilipishe matangazo[emoji23]mtandao ipi?
wé !!! umelala Leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yani hapa ukilala unakuwa umelala kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mwenye nyumba akirudi nitamtaarifu umejitolea kurekebisha
Naona wa pili wewe uachochora !Sawa
Daaah !Lindo jema Wapendwa, tukijaaliwa, baadae tena.
umelipendea niniFigisu....penda sana hili neno
nice, network yake ikojeNatumia ttcl! 1000 unapata 10gb kwa usiku tuu kuanzia saa 6 usiku mpk 12 asubuhi.