Jana ulisepa kabla ya kuelewana mimi na wewe.Zurri hakikueleweka kiaje?
Jana ulisepa kabla ya kuelewana mimi na wewe.Zurri hakikueleweka kiaje?
nshakaribia mkuu naona mambo si mabayaNzuri kiongozi. Karibu lindoni
Namshukuru mungu siku nyingine imeanzanshakaribia mkuu naona mambo si mabaya
Tuyamalize Leo basiJana ulisepa kabla ya kuelewana mimi na wewe.
Ila itabidi twende chemba baadae tuyalize au unasemaje ?Tuyamalize Leo basi
yani hapa ukilala unakuwa umelala keshoNamshukuru mungu siku nyingine imeanza
Chemba yangu imejaa nasubiria gari yakuzibuaIla itabidi twende chemba baadae tuyalize au unasemaje ?
Machine za kuzibulia ninazo usiwaze labda kama kuna tatizo lingine sema,ili mradi tu leo tuyamalize.Chemba yangu imejaa nasubiria gari yakuzibua
Wee utauwa watu humu.Pm me please
Haya mwenye nyumba akirudi nitamtaarifu umejitolea kurekebishaMachine za kuzibulia ninazo usiwaze labda kama kuna tatizo lingine sema,ili mradi tu leo tuyamalize.
Sijajitolea bibie...!Haya mwenye nyumba akirudi nitamtaarifu umejitolea kurekebisha
Aahhh sawa basi kitaeleweka ukishafikaSijajitolea bibie...!
Ngoja niwahi pm siti ya kwanzaPm me please
NielewesheNimekosa uhondo mkuu jaribu kuulegeza kama za mwanzo.View attachment 870502
Nikifika wapi wakati hutaki kunipa ruhusa.Aahhh sawa basi kitaeleweka ukishafika
hatuji bure bure, tuma nauliPm me please
Ruksa ushapewaNikifika wapi wakati hutaki kunipa ruhusa.