stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,759
hata wewe umekaa ki-don, dingi jina kubwa ujue...usingeweza kujibatiza hilo jina bure bure tuHahaha kuna don Wa jf anaitwa Saint Ivuga hashindwi kitu
hata wewe umekaa ki-don, dingi jina kubwa ujue...usingeweza kujibatiza hilo jina bure bure tuHahaha kuna don Wa jf anaitwa Saint Ivuga hashindwi kitu
Hili jina limetokana na udogo ila nimejikuta majukumu ya kibaba ila huyo amigo ni don kama akina papaa ndamahata wewe umekaa ki-don, dingi jina kubwa ujue...usingeweza kujibatiza hilo jina bure bure tu
aah okay, mtoto wako anamiaka mingapi?Hili jina limetokana na udogo ila nimejikuta majukumu ya kibaba ila huyo amigo ni don kama akina papaa ndama
Mi ntaufunga asubuh hii manake watu naona wanapasha viporo vyao sahiiNimewahi. ....karibuni mlango uko wazi
Utatozwa faini ujueMko wazima jamani naona nina ka nafuu leo tunaweza kuwa wote guard
Geti halijafungwa jamani khaaaUtatozwa faini ujue
Naona ndio unakesha we ngoja nikupe kampaniGeti halijafungwa jamani khaaa
Akuu baadaeNaona ndio unakesha we ngoja nikupe kampani
HayaaaAkuu baadae
nimepotelea sumbawanga huku
kwemaKwema?
Habari za uko ulipokwema