stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,759
kilugha gani hikiNyegera Waituuuuuu!
kilugha gani hikiNyegera Waituuuuuu!
Iko vzr mkuu.nice, network yake ikoje
mbona mnapenda shortcutKwa sisi wanasoka le natamani nipige goli la mkono...
Sikia...!Nilisahau koti langu jamani
Kivipi bro ? Usiwe umenielewa vibaya...?mbona mnapenda shortcut
Umenielewa ?Sikia...!
Wakora waituu!Nyegera Waituuuuuu!
mimi brand loyalty niliyonayo kwa airtel sijui wamenilisha limbwata gani, siwezi kujiunga kifurushi cha mtandao wowote kasoro wao. Ila nita give ttcl a try, nikachungulie kama nyumbani kumenoga kweli au uongoIko vzr mkuu.
Inna umemuacha?Amu wangu hujambo
ninalo, nilikutunziaNilisahau koti langu jamani
Dingi Mkubwa upo! Habari za Huko home! Kwangu saa 18:29. Wasalimie akina Thad!Wakora waituu!
Hutojutia mkuumimi brand loyalty niliyonayo kwa airtel sijui wamenilisha limbwata gani, siwezi kujiunga kifurushi cha mtandao wowote kasoro wao. Ila nita give ttcl a try, nikachungulie kama nyumbani kumenoga kweli au uongo
Nipo kamanda kwema huko? daah nchi gani hiyo huku saa01:30 usikuDingi Mkubwa upo! Habari za Huko home! Kwangu saa 18:29. Wasalimie akina Thad!
labda... interpretations can get confusing saa zingineKivipi bro ? Usiwe umenielewa vibaya...?
Ana mimba.Inna umemuacha?
Ya miez mingap ?Ana mimba.
Natafuta sehem ya kuosha rungi
kwema, sasa dingi tuachie hata hela ya msosi basiJaman kwema humu
Hahaha kuna don Wa jf anaitwa Saint Ivuga hashindwi kitukwema, sasa dingi tuachie hata hela ya msosi basi