SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Ngoja nikusindikize nikakusaidie kuchomeka neti.Bora ya wewe umenionea huruma
Ngoja nikusindikize nikakusaidie kuchomeka neti.Bora ya wewe umenionea huruma
Usiku mwema. Kesho uwahi uje kujitoaHatimae...bora umefika
Nashukuru
wenzako wameridhia? hamkawii kusema, kwanza substitute prefect hatukumchagua sisi, aliletwa kwa majina ya mfukoniNaomba uwe Kaka Mkuu /Head Prefect usiku wa Leo tafadhali.
Nikutakie lindo jemaUsiku mwema. Kesho uwahi uje kujitoa
Haki umenichekeshawenzako wameridhia? hamkawii kusema, kwanza substitute prefect hatukumchagua sisi, aliletwa kwa majina ya mfukoni
Hahahahaaawenzako wameridhia? hamkawii kusema, kwanza substitute prefect hatukumchagua sisi, aliletwa kwa majina ya mfukoni
Mimi umbea ndo umeniweka macho.Usingizi umegoma aiseee
Silali na net mkuu...pumzika tuNgoja nikusindikize nikakusaidie kuchomeka neti.
Thank hun..Nikutakie lindo jema
Nitawahi mapemaaa...kissesss
Kwani sheria za lindo zikoje ?Oohhh...nimekuelewa....lindo linataka kugeuka Chombeza Time na Dj JD
Kwahiyo bibie umeondoka kweli ? Daaah.Lindo jema guys
Hahawenzako wameridhia? hamkawii kusema, kwanza substitute prefect hatukumchagua sisi, aliletwa kwa majina ya mfukoni
Malaria haikubalikiSilali na net mkuu...pumzika tu
ByeeeeKwahiyo bibie umeondoka kweli ? Daaah.
everyone needs their beauty sleep. sleep tight!Siwezi..nitasinzia
Ulizia utaambiwa. ..mimi mjumbe nafuata mkiaKwani sheria za lindo zikoje ?
Huku kwetu hakuna mbuMalaria haikubaliki
Nakufata aisee...!Byeeee