JoanMS
Member
- Mar 20, 2018
- 65
- 91
bado upo lindo??Bado kidogo wakuu
bado upo lindo??Bado kidogo wakuu
Ndio mkuu tuendelee kushikamanabado upo lindo??
kwa kweli !..... masaa haya wengine ndio wameanza kazi!Ndio mkuu tuendelee kushikamana
Hahaa wakuu wanaamka sahv, wengine wanapiga cha asubuhi [emoji39][emoji39][emoji39]kwa kweli !..... masaa haya wengine ndio wameanza kazi!
nasikia wazee wanasema cha asubuhi ni cha afya ![emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaa wakuu wanaamka sahv, wengine wanapiga cha asubuhi [emoji39][emoji39][emoji39]
Na kinyume chake inakuwa cha kinyume pia au sijaellewa?nasikia wazee wanasema cha asubuhi ni cha afya ![emoji12] [emoji12] [emoji12]
ujumbe sijauelewa... fafanua
tutastaafu nini? Pombe, kazi au..
Usingizi mnono...Baadae
Una akili sana wewe, utadhan mim ndo nliekufundishaMda wa kudownload softwares pamoja na movies mpk asubui
kwemaaa, habariKwema humu
Za masiku?Kwema humu
Njema tu! Habari za huko?Za masiku?
Nzuri kiongozi. Karibu lindonikwemaaa, habari
mwendo wa kustream tyuuu na kudownload mkuu tupo pamojaaaMda wa kudownload softwares pamoja na movies mpk asubui
upo alone??Nimewahi. ....karibuni mlango uko wazi
Asante sana. NishakaribiaNzuri kiongozi. Karibu lindoni