Hapo sawa
Ulijua naingia mpaka ndani nini ? Mimi nina jua nidhamu za kumsindikiza mtu,siingii ndani mpaka niruhusiwe.
Hapo sawa
Umesahau nanii hapa..01:01
Kwaherini
Acha hizoMabwepande
Daaah...!Mabwepande
Ungependa kuniambia nini pm kwani?Wewe miyeyusho unafunga funga PM.
Kuna watu wanachambana kwenye group huko whatsappkuna umbea gani... labda na mimi utazidi kuniweka macho
Ukienda wewe nami nitaenda.wewe unapumzika saa ngapi?
Ninachotaka kukwambia PM siwezi kukwambia hapa kwa kulinda heshima yako na yangu. Asante !Ungependa kuniambia nini pm kwani?
Nani tena huyo,kama nimemuona hivi kapita sasa hivi.Kuna mtu namtafuta
Nan huyo mkuuKuna mtu namtafuta
Duuh!! kaazi kweli kweli.Kuna watu wanachambana kwenye group huko whatsapp
Tufanyenye juu ya nini? Leo nakumbana na maswali halafu sina karatasi ya majibuKwema. Sasa tufanyeje?
Amu wangu hujamboKuna mtu namtafuta
Jiongeze bwana lovTufanyenye juu ya nini? Leo nakumbana na maswali halafu sina karatasi ya majibu
Basi kesho nitakutafuta ondoa hofuNinachotaka kukwambia PM siwezi kukwambia hapa kwa kulinda heshima yako na yangu. Asante !
Ananitafuta.Nan huyo mkuu
hehe figisu ziko za aina nyingiHaki umenichekesha
Tochi unayo? Maana na hili Giza sidhani kama utamuonaKuna mtu namtafuta
Ooohhhh....mvivu mimi kujiongeza. ..napenda kuongezewaJiongeze bwana lov