spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Asante [emoji120] [emoji120]Pole
Asante [emoji120] [emoji120]Pole
usiogope mkuu. karibu jamviniMnanitingisha jamani
baby shem hutaki kuja kunifungulia mlango?Jamani nasikia mtu anabisha hodi sijui ni nani? Ngoja nizime data nilale asijue kama niko macho!
Thad asikutishe(maalimu seif's voice)Sitaki kabisa.. Nawewe umefikia wapi na bwana Lucas
teh teh teh kulikoni tenaMmmh
unacopy mistari mkuuMkuu umenifundisha kitu, next time nikiulizwa mbona uko kimya sana ntajibu kama hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie haupo [emoji16][emoji16]Jamani nasikia mtu anabisha hodi sijui ni nani? Ngoja nizime data nilale asijue kama niko macho!
Copy n Paste, full mtelezo, hata sihangaiki kuongeza herufi, nachukua km kilivyounacopy mistari mkuu
hahaha angalia usisahau ukajikuta unachanga manenoCopy n Paste, full mtelezo, hata sihangaiki kuongeza herufi, nachukua km kilivyo
Aaah si ntajikuta nimeandika hadi jina la mwenye mistari [emoji23][emoji23][emoji23]hahaha angalia usisahau ukajikuta unachanga maneno
Hapana tulikuwa tunafanya mambo mengine 🙂 🙂Naona watu wamelelala
Mambo gani?Hapana tulikuwa tunafanya mambo mengine 🙂 🙂
Haya kumesha kucha funga getiAah dingimtoto unakuwa kama mtoto sasa haha 😀 😎
HmmmKitaambo hapa nasubili igonge kamili nikabidhi lindo.
Mwambie amu kuwa somebody is missing her, aje lindoni