spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Montreal 17:05 (Jumamosi) Bongo 00:05 (Jumapili) haki ya Mungu kuna raha Bongo, yaani hata Kwenda kwa Mungu tunawatangulia hawa white ngozi!
Tunawatangulia muda lakini wametushinda kila kituMontreal 17:05 (Jumamosi) Bongo 00:05 (Jumapili) haki ya Mungu kuna raha Bongo, yaani hata Kwenda kwa Mungu tunawatangulia hawa white ngozi!
Kwa wamaopokea taarifa za lindo mpaka watakapokabodhi kesho morniekumekucha
safi mkuu km unavyojua lindo la weekend huwa ni tam sanaShwari lakini wakuu?
Mim kira siku unanichokoza jamanSijawahi kuchokoza mtu tangu nizaliwe mara ya tatu
Ni kweli mkuu, halichoshi kabisa ila mara nyingi number kubwa ya walinzi inakuwaga ni ya wanaume. Wale wenzetu wengi wanakuwa wapo kwenye appointments 😀 😀safi mkuu km unavyojua lindo la weekend huwa ni tam sana
kweli kabisa ila lindo la leo nasindikizwa na kigodoro hapa jirani basi raha tupuNi kweli mkuu, halichoshi kabisa ila mara nyingi number kubwa ya walinzi inakuwaga ni ya wanaume. Wale wenzetu wengi wanakuwa wapo kwenye appointments 😀 😀
Anapenda kunionea tuuuuVipi tena mkuu, mrembo Thad amekufanyaje tena?
Haha maeneo gani hayo mkuu? 😀 😀kweli kabisa ila lindo la leo nasindikizwa na kigodoro hapa jirani basi raha tupu
[emoji56] [emoji56] [emoji56]Haha maeneo gani hayo mkuu? 😀 😀
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]Haha jua kuwa kufinya kwa mwanamke juu yako ni sawa na kujikuna ngozini mwako. Hao wanahitaji maneno mazuri na murua muda wrote u know?
Thad come over here please
Najua wadau wakaribu watakuja. Ila vigodoro Tanga bhana khaa karibia kila ijumaa,leo utasikia mtaa huu after two days mtaa ujao 😀 😀 😀[emoji56] [emoji56] [emoji56]
Ndio mkuu ila unaichaji masaa zaidi ya mawili na bei yake ni laki na 75Duh mkuu hiyo inakaa na chaji km nokia tochi
pande za kigogo na sasa baikoko wanaondoa vigoma vyao yanaanza mambo ya vidole juuNajua wadau wakaribu watakuja. Ila vigodoro Tanga bhana khaa karibia kila ijumaa,leo utasikia mtaa huu after two days mtaa ujao 😀 😀 😀