nlikuwa nalala mapema kuongeza nuru kwenye ngozi ning'are kila siku, nlipokuwa salama.Nzuri baby mbona ulipotea gafla mpaka nikashikwa na homa? Yaani uwepo wako, maneno yako yamekuwa faraja na dawa tosha ya kupona kwangu. Za huko ulikokuwa?
Haha hujanywa maji mengi ili ing'ae mara dufu according to Ray? 😀 😀nlikuwa nalala mapema kuongeza nuru kwenye ngozi ning'are kila siku, nlipokuwa salama.
Maji muhimu pia nakunywa nimeremeteHaha hujanywa maji mengi ili ing'ae mara dufu according to Ray? 😀 😀
Hakika utameremeta ila angalia tu usiongezeke kilo maana si kwakulala huko haha.Maji muhimu pia nakunywa nimeremete
Haha tuimalize mkuu, so unajua tena mtu ukishindwa kuvumilia kummis mtu haha. Haya tupumzike mpaka muda wa lindo.Huhuhu leo imekuaje jamani
Vzr sanaHaha tuimalize mkuu, so unajua tena mtu ukishindwa kuvumilia kummis mtu haha. Haya tupumzike mpaka muda wa lindo.
Huhuhu leo imekuaje jamani
poleMuda bado au watu tu wameamua kuwahi kufungua lindo?
nitajitahidi tahidi kupita pita, kilo haziwezi niko makini sana katika hilo.Hakika utameremeta ila angalia tu usiongezeke kilo maana si kwakulala huko haha.
Leo utakuwepo lindoni?
Miss yo company n you know it sweetheart... 😉
amunimejisikia na mimi kuna watu wanachatigi saa 5 mchana na hawajapewa adhabu za utovu wa nidhamu hata by the way leo wikiend lindo linaanza mapema si unajua balimi za kumwaga
pole
Aseee basi sawanimejisikia na mimi kuna watu wanachatigi saa 5 mchana na hawajapewa adhabu za utovu wa nidhamu hata by the way leo wikiend lindo linaanza mapema si unajua balimi za kumwaga
pole