spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Nzuri mkubwa wangu. Nawamiss jamani.mkuu habari yako
Nzuri mkubwa wangu. Nawamiss jamani.mkuu habari yako
Duh mkuu hiyo inakaa na chaji km nokia tochiYeah hilo ndio tatizo la samsung zinazidiwa hapo ni itel wamepoa simu inakaa na moto siku 3 data on
Kwanini ulinitapeli? Sikupati kwa zile codesHapa ni SAA moja na dk 42 jioni ya Ijumaa
Yaani mida yetu hapa nilipo ndo mchaanamkuu habari yako
pamojapamoja. nikipata wasa nitakuchek pm. .
Tunakulaga baby shem!Unanitega shemeji! (in Msagasumu's voice)
Ooh! Hapana nilikuwa eneo moja la barafu kwa siku 36 nimerejea Jana saa tano asubuhi kwa saa za huko home.Kwanini ulinitapeli? Sikupati kwa zile codes
Kibaba baba nimecheza sana, ila daima walinipa uhusika wa mtoto aaagrrr![emoji53][emoji53]@Thad ulikuaga unacheza kibaba baba
Kama watumiss mbona hututembelei?Nzuri mkubwa wangu. Nawamiss jamani.
Aaah aiseee pole sana mkuu, umekosa uhondo [emoji23][emoji23][emoji23]Kibaba baba nimecheza sana, ila daima walinipa uhusika wa mtoto aaagrrr![emoji53][emoji53]
Ila kombolela sikuwahi kuipenda
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Tunakulaga baby shem!
yaani we na majanga tu hahahaKwanini ulinitapeli? Sikupati kwa zile codes
Pamoja sana kiongoziOoh! Hapana nilikuwa eneo moja la barafu kwa siku 36 nimerejea Jana saa tano asubuhi kwa saa za huko home.
kama usalama umetawala ni jambo jema mkuuYaani mida yetu hapa nilipo ndo mchaana
Kwanini jamani baby shem?yaani we na majanga tu hahaha
PoleHuko hakuna mtandao ni satellite pekee
Mmmh