Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
Nilikuwa kijijini nalima maharage[emoji23][emoji23]Nilikuepo [emoji16] hapo tunaongelea kipindi cha miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka 2005,
Wakati huo wewe ulikua wapi ?
Nilikuwa kijijini nalima maharage[emoji23][emoji23]Nilikuepo [emoji16] hapo tunaongelea kipindi cha miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka 2005,
Wakati huo wewe ulikua wapi ?
Sitaki kabisa.. Nawewe umefikia wapi na bwana LucasUko tayari kuwa bi tatu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo hoja ni zipi lakini?Ameunga mkono hoja pia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafika naye wapi huyu mnyantuzu, bado tuko pale paleSitaki kabisa.. Nawewe umefikia wapi na bwana Lucas
duuh hayaI'm speechless kwakweli
Ushawahi kumpenda mtu hadi unashindwa utumie neno gani zuri atakalolifurahia? ndo mimi sasa
Nakumbuka smartphone ya kwanza kununua ni Motorola L6 2006 hiyo, dah nlikua naipenda ile simu aseeNilikuepo [emoji16] hapo tunaongelea kipindi cha miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka 2005,
Wakati huo wewe ulikua wapi ?
Alisema atakuteka yeye hajaribiwi kama jiweNitafika naye wapi huyu mnyantuzu, bado tuko pale pale
Mkuu umenifundisha kitu, next time nikiulizwa mbona uko kimya sana ntajibu kama hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]I'm speechless kwakweli
Ushawahi kumpenda mtu hadi unashindwa utumie neno gani zuri atakalolifurahia? ndo mimi sasa
Mpishe mwenzio aingie bwana, acha kumzuiaPiga hodi....
NzuriHabari za lindo?
Makubaliano muhimu wanakamati tupo hapa[emoji126]Nitafika naye wapi huyu mnyantuzu, bado tuko pale pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] changamoto kipindi hicho, mp3 kuubwa ina mb 1 au 2 waptrickDadeq enzi za kudownload kitu afu unaambiwa na internet exploer 3 weeks 5 days,20 minutes remain
Wakati ni file la mb 500 tu[emoji23]
Kasahau mila na taratibu zetu za kibantu,,,Mpishe mwenzio aingie bwana, acha kumzuia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lugha ya wizi hii, anaibiwa mtu hapaI'm speechless kwakweli
Ushawahi kumpenda mtu hadi unashindwa utumie neno gani zuri atakalolifurahia? ndo mimi sasa
Na alisema lazima atampata tu kukataa kwake ni kama mafukuzano ya jogoo na kuku huwa hayafiki popoteAlisema atakuteka yeye hajaribiwi kama jiwe
Salama tu mkuu vipi uko poa ?
Hata mtaani, nilishawahi kwenda cafe "kuchukua" harddisk bila ridhaa ya mwenye mali, kwasababu niliona PC iko wazi afu imekaa inavutia kuchomoa HarddiskWaliosoma boarding utawajua tu![emoji23]
We mwache tu ajidai apaNa alisema lazima atampata tu kukataa kwake ni kama mafukuzano ya jogoo na kuku huwa hayafiki popote